Msaada: ukweli kuhusu hawa GSM ZONE

Damy Scotty

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
717
454
Habari wakuu naombeni msaada kuhusu hawa jamaa nataka ninunue simu kwa njia ya mtandao ila siamin kama kweli mana dunia imebadilika

Mwenye ushuhuda wa hili anisaidie je ni kweli wapo hawa jamaa na wanafanya hiyo biashara?

Hizi ni baadhi ya vielelezo vyao wakat nachati nao whatsApp ImageUploadedByJamiiForums1451222767.941108.jpg ImageUploadedByJamiiForums1451222788.206933.jpg
 
Back
Top Bottom