Msaada Uhamiaji!

Msaada Uhamiaji!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,367
Reaction score
27,773
Habari wakuu,.

Kuna ndugu yangu ameitwa katika usaili tarehe 26 mwezi huu Dar es salaam,.

Yeye kajiajiri katika biashara ndogo ndogo ambazo zinampatia riziki siku zinaenda.

Naomba kujua kwa wale wanaofahamu kuhusu kiasi gani cha mshahara kwa makadirio wanalipwa kwa ngazi ya COPLO na CONSTABO.

Yeye yupo Mara anataka afanye maamuzi sahihi katika hili.

Natanguliza shukrani,..
 
Mshahara million moja na nusu kwa constable na million mbili kea koplo
 
Mshahara million moja na nusu kwa constable na million mbili kea koplo

Acha izo wew mi nipo wizara moja na uhamiaji mshahara wote coplo na constable ni chini ya laki 600000 nipm nikwambie mishahara halis kama unataka inatofautiana kidogo sanaaa
 
Back
Top Bottom