Zambotti
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,983
- 3,670
Jamani niko nahakiki cheti RITA, kilichonikwamisha ni uandikaji wa namba za simu kama taarifa za awali.
Wanataka namba ya simu iwekwe kwa format ganii?
Maana nimeanza na +255 xxx xxx xxx nimeweka 0xxx xxx xxx imegoma mpaka nimezibana namba bila kuacha nafasi bado imegoma.
Msaada tafadhali