Msaada: Ugonjwa wa ngozi

Msaada: Ugonjwa wa ngozi

Hello Team Doctors .
Naombeni msaada wenu please.
Atumie dawa gani au cream gani waheshimiwa watukufu . View attachment 2549502View attachment 2549504

Hii ni folliculitis.
Maambukizi kwenye vifuko ambavyo nywele au vinyeleo huotea. Utaona mara nyingi vinafuata mashina ya nywele.

Matibabu:

1: Matumizi ya corticosteroids/hydrocortisone huweza kufanya hali kuwa mbaya zaidi.

2: Tiba huusisha antibiotics za kupaka au kunywa kulingana na hali halisi.

3: Tretinoin au antifungal huweza kutumika kama hali inajiruduia baada ya tiba hapo juu.

4: Ni muhimu kupata historia ya tiba aliyokwisha kutumia mgonjwa husika ili kusaidika zaidi.

5: Uogaji wa kwenye mabwawa au sehemu za kuogelea na hot tubes hutakiwa kusitishwa pia.
 
Asanteni sana ma Dr , nimepata dawa baada ya mwezi nitaleta mrejesho mkuu Dr
 
Back
Top Bottom