Dalili za mdondo ni uharo wenye kijani,na kama bahati mbaya itakutokea wachinje kwani mdondo ni virusi hauna tiba,ikibidi tumia mchanganyiko wa aloe vera na muarubaini huwa inatibu.Mimi huwa naongeza na majani ya mlonge pia huwa inasaidia.Jitahidi wapatie chanjo ya newcastle ili kuzuia mdondo.
Uharo mweupe hio ni salmonella sio mdondo.Intertrim ni dawa inayofanyavizuri Sana kwenye salmonella.Hivyo huyo kuku wako ana salmonella sio mdondo.Madawa mengi yenye salfa kwa wingi ni mazuri sana kwa tyfod ya kuku.
Angalizo,Mimi si dakfari ila ni mfugaji mzoefu.