Tumia VPNYaani nimejaza paswad na username fresh lakini inagoma nimedelete na kuidawnglod upya lakini wapi.
Nimebadiki hadi twiter lite nayo imegoma msaada nifanyeje nirudishe acount yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nayo kama inalod tuu hainganishi.Tumia VPN
Mchawi ni VPN tu wa stendi . Zipo nyingi, angalia huko google play/app store.Yaani nimejaza paswad na username fresh lakini inagoma nimedelete na kuidawnglod upya lakini wapi.
Nimebadiki hadi twiter lite nayo imegoma msaada nifanyeje nirudishe acount yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetumia mkuu inaniandikia hivi na vpn natumia hiiMchawi ni VPN tu wa stendi . Zipo nyingi, angalia huko google play/app store.
Jaribu thunder vpn,Nimetumia mkuu inaniandikia hivi na vpn natumia hiiView attachment 1653341View attachment 1653342
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewasha kwanza VPN kabla ya kuingia Twitter ?
Asnte kakayangu nimedawnglord thunder vpn ndo imekubali saa hivi nashukuru sana kwa kweliUmewasha kwanza VPN kabla ya kuingia Twitter ?
Baba asante barikiwa thunder ndo imekubali asee barikiwa mnoJaribu thunder vpn,
Asnte mkuu nimepakua thunder vpn ndo imekubali nashukuru sanaMchawi ni VPN tu wa stendi . Zipo nyingi, angalia huko google play/app store.
[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Kumbe kuna vpn feki asee nimeteseka tangu juzi *****[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Asee nashukuru sana yaani niliteseka sana tangu juzi mi nikadhani labda ni twiter wenyeweKawaida, hizi app wapigaji ni wengi mno. Mimi ndo natumia hiyo tangu september.
Pamoja sana mkuu, ka-enjoyAsee nashukuru sana yaani niliteseka sana tangu juzi mi nikadhani labda ni twiter wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app