Msaada: TV yangu haitoi sauti

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,143
Reaction score
1,839
Naomben msaada jaman, nina tv aina ya hitach sijaitumia karibu miezi 10 sasa leo hii nomeiunganisha kwenye cable picha inakuja ila haitoi saut zaidi ya kufoka tu nimejaribu kuangalie setting lakin nimeshindwa kugundua tatizo kwa kuwa sio mtaalam sana hivyo mwenye uelewa naomba msaada wa maelekezo! Nawasilisha
 

kufoka vipi? jaribu kuangalia waya za tv kwenda kionyesheo cha hio picha
 
Waya upi kaka chief au ule wa antena?
 
Waya upi kaka chief au ule wa antena?

kwani bado tunatumia antena kaka? waya wa kutoka kitu kinachofanya hio tv ioneshe inaweza kuwa deki, dstv, azam au king'amuzi chochote.

na kama unatumia antenna siku hizi hazifanyi kazi tena
 
Natumia cable hivyo ule waya nimeingiza pale nilipokuwa naingizia antena kipind cha analogia
 
Natumia cable hivyo ule waya nimeingiza pale nilipokuwa naingizia antena kipind cha analogia

jaribu kucheki button ya audio kwenye remote ujaribu kuibonyeza ubadili unaweza pata sauti sometime audio inatumwa kwa njia tofauti na hio uliochagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…