Msaada: Tv Tuner na mfumo wa Digital

middo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
207
Reaction score
56
Habar wadau. Hapo mwanzo kabla mfumo wa digital haujafanywa kuwa rasmi nilikua natumia Tv tuner kwenye computer yangu nakupata channel za television kama mtu mwenye Tv, ila tangu imekuja digital imeniharbia kabsa. Nmejarbu kuunga tena kwa kutumia king'amuz cha startime ila haionyesh kitu zaid ya chenga. Wadau naomba kujua kama huu mfumo wa digital unaweza ukatumia tv tuner kwenye computer kupata huduma za tv kama mwanzo au ndo zama zile zmeshapitwa na wakat nitupe haka kaTv box kangu... Natanguliza shukran
 


Rahisi sana mtu wangu, unachokosea ni kwamba wewe unaweka setting ya TV/CABLE.. unatakiwa kuweka COMPOSITE halafu kin'amuzi unakiunganisha kama deki, yaani zile cable za audio na video zinaingia kwenye tuner kwa upande wa VIDEO IN na AUDIO IN

 
Watafute KODTEK niliona tangazo lao moja wanazo usb DVB receiver wanadai zinanasa channel kibao, walikuwa wanauza 50k.
 
kwenye setting niliweka ''composite'' screen ikawa dark tu hakuna chenga wala picha
bado tatizo lipo kwenye connections zako, jaribu kuunga DVD player kama itafanya kazi, ikifanya basi tumia connections hizo hizo kuunga Decorder. pia kwenye color system weka PAL B
 
kwenye setting niliweka ''composite'' screen ikawa dark tu hakuna chenga wala picha
badilisha 'Region' kwenye settings za hiyo tv tuner, Jaribu India etc..ni ishu ya settings tu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…