the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Natmua intex tv tuner modelIT 200USB kwenye laptop yangu inayorun window seven proffessional tatizo nikiconnect na antennae moja kwa moja napata picha cpat saut n mckiko wa chenga ukitega sana ckio saut inakia kwa mbali sana na nikitumia king'amuz napata picha na sauta ila picha inakua colourless,nifanyaje wadau