Msaada tv card kwenye laptop

MDAU JR

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
451
82
Hodi jamvini wana JF, naomba mnijulishe iwapo naweza kutumia tv card kwa laptop yangu na kwa namna gani, nahitaji program gani kwa computer? Iwapo its possible, naweza ipata wapi kwa bei poa but genuine. Karibuni!
 
Mkuu kuna TV CARD za External ambaza unaweza kuzitumia kwa laptop,zipo nyingi tu mjini.
 
Ingekuwa rahisi na vyema kwa uenyeji wenu mngetwambia maeneo yapi au duka lipi say hapa dar hii tunaweza kuzipata na bei zao zikoje
One love
 
Back
Top Bottom