gelevahekejr
Senior Member
- Feb 24, 2014
- 120
- 16
naomba kuuliza 3g kuwashwa kwa amri ya nani serikali au watu wa mitandao tunahamu sana ya kupata 3g mlimba kihans kilombero morogoro
mi huwa nashangaa sana sisi wa vijijini hatutakiwi kupata huduma hii
mi huwa nashangaa sana sisi wa vijijini hatutakiwi kupata huduma hii au ina garama kubwa
ningependa kujua kuwa 3g kuna kifaa kingine kina fungwa?
Ni watu wa mitandao husika.
Ni tatizo, ukiondoa maeneo ya mijini, sehemu kubwa ya tanzania ni 2g ndio ipo.
nilikuwa mbeya last week nikiweka voda napata 3G lakini Tigo 3G inagoma.
Inawezekana ikawa tiGo hawana 3g hilo eneo.
Jaribu kufanya manual search ya network kwa kutumia laini yeyote na uone list ya netwoek zitakazo jitokeza.
iyo manual search unafanyaje mkuu?
Click TOOL >> OPTION >> NETWORK >> REGISTRATION MODE >> MANUAL SEARCH and register
Je unatumia modem model ipi? Hayo maelezo ni kwa HUAWEI