Msaada tutani

Bumela

Senior Member
Joined
Sep 23, 2009
Posts
159
Reaction score
23
Wadau naomba kujuzwa, fastjet kutoka Dar kwenda Mwanza wanasema ni 320000(excluding taxes and charges) hivi wana maana gani? Inamaana kuna kiasi cha fedha ambacho mtu hulipa zaidi ya ile 320000 na kama ndivyo ni shil. ngapi?
 
Samahani Hapo kwenye Red nilikuwa namaanisha Sh.32000.
 
Wanamaanisha hiyo bei haina tax. Ukiweka na tax au kodi inakuwa 43,000.00 one way.
 
Tax/Kodi ni asilimia ngapi ya bei ili siku nyingine bei ikiwa 64,000/= tusikuulize tena swali kama hili.

Airport tax kwa fastjet ukiangalia utakuta wanatoza 11,000. PW wana hidden figures ambazo mi mara nyingi napataga maswali mengi nazo ila ukiangalia Fastjet wako straight forward. Angalia mfano wa booking ya return hapo kwenye hicho kipicha Dar-JRO-DAR utaona kote ni 11,000/= TZS.
 
Wadau naomba kujuzwa, fastjet kutoka Dar kwenda Mwanza wanasema ni 320000(excluding taxes and charges) hivi wana maana gani? Inamaana kuna kiasi cha fedha ambacho mtu hulipa zaidi ya ile 320000 na kama ndivyo ni shil. ngapi?
Kwa kifupi hizo ni gharama za nyongeza ambazo hazina uhusiano wowote na asilimia ya bei ya ticket. Hayo ndo mapato ya serikali (zipo fixed)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…