Asante mkuu, nataka nipate used land engine mbili au refurbished one toka UK zikiwa complete na zifike DSM-Tz, then mimi nitalipa gharama zote zitakazokuwa zimetumika kununulia na kusafirisha plus comission na kama security ni nzuri kwangu basi naweza lipia kabla