Msaada tutani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tutani

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ngisibara, Oct 31, 2009.

 1. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2009
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Natafuta mtu au kampuni ambayo itanisaidia kununua kitu fulani toka UK na kusafirisha mpaka Tz, pesa ningependa nilipe kwa Tsh,
   
 2. D

  DrMosha Member

  #2
  Oct 31, 2009
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  labda ungeli toa maelezo ya ziada ya kitu unachotaka kununua. Pia ueleze kama ni cha biashara , matumizi binafsi, n.k. Kisa cha kutka kulipa kwa Tshs ni nini?
   
 3. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2009
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Asante mkuu, nataka nipate used land engine mbili au refurbished one toka UK zikiwa complete na zifike DSM-Tz, then mimi nitalipa gharama zote zitakazokuwa zimetumika kununulia na kusafirisha plus comission na kama security ni nzuri kwangu basi naweza lipia kabla
   
 4. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Nipe hiyo tenda mradi isiwe madawa ya kulevya!!
   
 5. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Toa tenda Mkuu.
   
 6. Kivuko

  Kivuko Member

  #6
  Oct 31, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  najaribu kuelewa ulichokuwa unamaanisha natoka bila bila.:confused:
   
Loading...