habari wanaJF,
naomba kusaidiwa chaguo lipi ni sahihi kwa mhitimu wa shahada ya "BSc.BUSINESS INFORMATION SYSTEMS" kutokana na uhitaji wake katika mazingira ya kazi.machaguo ni kama yafuatayo:
1."Business analyst"
2."Database administrator"
3."systems analyst"
4."business consultancy"
unaweza kuweka vitu viwili/vitatu vya kuzingatia ktk pendekezo lako.
Natarajia mawazo mazuri pia unaweza kutoa ushauri nje ya machaguo yangu kikubwa ureflect uhalisia.