Msaada tutani

Msaada tutani

jjj2be

Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
11
Reaction score
0
Wapendwa wana JF, Nina shida nahitaji kupata msaada wa Jinsi ya Kulitatua.

Kuna Mtu Nilimkopesha pesa mwaka 2004 December na akaahidi kunilipa January 2005. Lakini Mpaka leo hajamaliza kunilipa hiyo pesa. Na mbaya zaidi mwaka jana 2008 October akaniandikia Cheque ili niweze kupata hiyo pesa.. lakini nilienda Deposit kwenye account yangu hiyo cheque mara tatu bila kupata pesa kwani account aliyoniandikia cheque inaonyesha haina hata senti moja.

Sasa naomba ushauri, Cheque mpaka leo ninayo, Nifanye nini..??

Nasubiri kupata Ushauri wenu.

Asanteni.
 
Cheque kubounce (Refer to Drawer) ni kesi ya Jinai.
 
Back
Top Bottom