Msaada tutani

Msaada tutani

lizzy3639

Member
Joined
Nov 6, 2015
Posts
42
Reaction score
25
Habari wana jamii wenzangu naomba msaada kuhusu hizi emails za immigrants huwa ni issue za kweli maana huwa nataka kulipia hizo form lakini nasita mwenye kujua anifahamishe. Nataka kuhama Nchi
Screenshot_20180507-073640.jpg
 
Habari wana jamii wenzangu naomba msaada kuhusu hizi emails za immigrants huwa ni issue za kweli maana huwa nataka kulipia hizo form lakini nasita mwenye kujua anifahamishe. Nataka kuhama Nchi View attachment 768739
Yaani $30-$50 tu mbona ndogo hivi au hizo ni fake unaweza kulipia ukapigwa hela tafuta trusted Canadian government sites au Fanya uchunguzi kwanz@
 
Back
Top Bottom