Mwenye uelewa naomba msaada kwenye simu yangu kuna wakati naona Ina anatoa ujumbe huu"sms sent" wakati huo sijaandika wala kutuma sms yoyote na hiyo sms siioni zaidi ya huo ujumbe.
Nimejaribu kuzuia pamission zote za App ya kuwa na uwezo wa ku access simu yangu lakini bado sms hiyo inajitokea mara moja moja kwa siku.
Mwenye uelewa naomba msaada kwenye simu yangu kuna wakati naona Ina anatoa ujumbe huu"sms sent" wakati huo sijaandika wala kutuma sms yoyote na hiyo sms siioni zaidi ya huo ujumbe. Nimejaribu ku zuwia pamission zote za app ya kuwa na uwezo wa ku access simu yangu lakini bado sms hiyo inajitokea mara moja moja kwa siku.
restore factory settings Mkuu, usisahau ku remove account (gmail) kabla ya kuifuta simu yako, epuka kuingia katika link za ajabu ajabu pia epuka mikopo ya mitandaoni. kuondoa account kabla ya ku format simu itakuondolea adha ya kukudai FRP lock.