Msaada tutani Reciever ya G-Tv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tutani Reciever ya G-Tv

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mhadzabe, Sep 22, 2012.

 1. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,657
  Likes Received: 717
  Trophy Points: 280
  Sheshima kwenu wakuu. Je king'amuzi cha iliyokuwa G-Tv unaweza ukakitumia katika Dish la futi sita (ungo/dishi) ukapata chanel kama unazoziona kupitia receiver ya Media Com 930?
   
 2. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,042
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Huwezi pata chachote. Wape watoto wachezee
   
 3. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,657
  Likes Received: 717
  Trophy Points: 280
  eti ehe, asante Mkuu sina mtoto ngoja nimtunzie Mungu akinijalia.
   
 4. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,646
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  Nimepokea kwa mshituko mkubwa comment yako, itabidi nitumie kuanikia unga wa ulezi kwa ajili ya uji sasa au nifanye sahani
   
 5. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,042
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  kama unamaanisha ungo hule una kazi nyingine. Kama ni dekoda ya gtv umeumia tupa tu mkuu
   
 6. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,646
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  Nimekupata hapo mkuu hapo kwenye decoder which means ungo ninaweza tumia kwa decoder ya kampuni nyingine, hii ndio tabu ya wawezaji wasio na guarantee maana jamaa walidumu miezi kadhaa wakapotea ghafla
   
 7. M

  Mliga Senior Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna wakati zukutv walikuwa wanazichukua kwa kubadilishana na decorder zao, hususan katika nchi za kenya na uganda walifaidika sana na utaratibu huu. Sasa kwa hapa kwetu sijapata uhakika sana, ila kama uko karibu na ofisi zao au una muda unaweza ukafuatilia kwa taarifa zaidi. Ila kenya na uganda waliokolewa kwa staili hiyo.
   
 8. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,646
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  Ok nitafuatilia
   
 9. Mavella

  Mavella JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Decoder za Gtv unaweza ukatumia kama fta ushauri wa kuitupa mimi simo.
   
 10. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,643
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Tena unapata chanel nyingi tu nazingine huwa wanaoneshaga EPL
   
 11. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,657
  Likes Received: 717
  Trophy Points: 280
  Mkuu nipe hayo maujanja. Nifanyeje ili niweze ktpata hzo chanel za Fta?
   
 12. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,657
  Likes Received: 717
  Trophy Points: 280
  nitafanyaje mkuu? Kaujuzi basi nimegee
   
 13. Mavella

  Mavella JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
 14. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #14
  Oct 4, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,657
  Likes Received: 717
  Trophy Points: 280
  Thanks Mavella, nimejaribu but still inagoma.
   
Loading...