siku hizi mambo yamebadilika ,mapenzi/mahusiano yanachukuliwa kama uwanja wa mapambano vita kwa hiyo hata mbinu zimebadilika,yote ktk yote uhusiano mzuri na wa kuduma uatajengwa na utii na upendo bila shurti kwa pande zote mbili,kuaminiana,na kupanda kabla ya kuvuna(hapa namaaisha kile kiwango cha upendo unachotaka kukiona kutoka kwa mwenzio ukioneshe kwanza!