Nakushauri nenda maduka ya kuuzia madini yamefunguliwa karibu kila mkoa...kama hujui taja mkoa ulipo wadau watakuelekeza lilipo duka...Habari za leo wafanyabiashara
Naomba kujua naweza kupata wapi soko la mercury hapa nchini, afrika mashariki na afrika kwa ujumla.
Pia kama una connection ya buyers/wanunuaji wa Mercury tafadhali tupeane connection na pia unipe information kwa ujazo upi mercury hio inanunuliwa na zaidi mwisho wa siku tukifanikiwa kuuza tutagawana pesa itakayopatikana.
watu wenye akili za kimasikini hawanisambui mkuu..nitatafuta duka la madini eneo nililopo asante kwa muongozoNakushauri nenda maduka ya kuuzia madini yamefunguliwa karibu kila mkoa...kama hujui taja mkoa ulipo wadau watakuelekeza lilipo duka...
Vinginevyo ukiendelea na mjadala utajulikana wazi ni walewale..kama wadau walivyoanza kukuashiria taa nyekundu.
endeleeni kua na akili za kimasikini kaeni hivyo hivyo tulieni hapo hapo.
unayajua maarifa wewe?...maarifa ni yule aliyenishauri kutafuta soko la madini, sasa wewe maskini unaekimbilia kuwaza utapeli au kupigwa nawe utaajita mtu anayefikiri kwa kutumia ubongo uliopewa vizuriSawa tajiri, ni bora kuwa masikini kuliko kuwa tajiri aliekosa maarifa.
unayajua maarifa wewe?...maarifa ni yule aliyenishauri kutafuta soko la madini, sasa wewe maskini unaekimbilia kuwaza utapeli au kupigwa nawe utaajita mtu anayefikiri kwa kutumia ubongo uliopewa vizuri
Nenda machimbo ya dhahabu, ila tambua ni kosa kisheria kuuza kama ubuyu au umachinga kama unavyofanyaHabari za leo wafanyabiashara
Naomba kujua naweza kupata wapi soko la mercury hapa nchini, Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla.
Pia, kama una connection ya buyers/wanunuaji wa Mercury tafadhali tupeane connection na pia unipe information kwa ujazo upi mercury hio inanunuliwa na zaidi mwisho wa siku tukifanikiwa kuuza tutagawana pesa itakayopatikana.
Migodini, kile kidubwana kidogo kabisa wanauza 25,000watu wenye akili za kimasikini hawanisambui mkuu..nitatafuta duka la madini eneo nililopo asante kwa muongozo
Yes uko sahihi, wanauza kwa kimya kimyaNenda machimbo ya dhahabu, ila tambua ni kosa kisheria kuuza kama ubuyu au umachinga kama unavyofanya
NJOO inbox Mkuu, nikuunganishe na Buyer wa Uhakika, buyer anakufata pale ulipo...Habari za leo wafanyabiashara
Naomba kujua naweza kupata wapi soko la mercury hapa nchini, Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla.
Pia, kama una connection ya buyers/wanunuaji wa Mercury tafadhali tupeane connection na pia unipe information kwa ujazo upi mercury hio inanunuliwa na zaidi mwisho wa siku tukifanikiwa kuuza tutagawana pesa itakayopatikana.
nitakucheki na pia asante kwa ufafanuziKama ni industrial Mercury hyo kupata wateja Haina shida we sema una kiasi gani nipm ILA Kama ni hizi mnaita red Mercury hyo ni myth mkuu hamna kitu Kama red Mercury nakuomba usije ukapoteza muda wako na hata nauli yako kutafuta mnunuzi