Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 333
Msaada wana jamvi mbona kimya?
My take:
homophobic = mtu anayechukia ngono ya watu wa jinsia moja.(******* na wasagaji)
heterosexual= ngono ya watu wa jinsia zisizofanana (tofauti )
hermophrodite + kiumbe chenye jinsia mbili tofauti...(say uke na uume).
Salam ndugu wana JF napenda kujua maana ya maneno haya kwa kiswahili kwani huwa yananichanganya sana.Natanguliza shukurani.
1. Homophobic
2. Homosexual
3. Bisexual
4. Heterosexual
5. Hermaphrodite
6. Homoerotic
7. Pansexual
8. Omnisexual
9. Polysexual
Homophobic - Mtu anayewachukia homosexual
Homosexual - M@se@nge% au Basha wa kike au wakiume, lakini M@se@nge% ni yule anayefirwa tu na Basha ni mfiraji. Kwa maana yangu wote wanafit kwenye kufirwa na kufira - wanaume pekee na wanawake pekee - How they do it I don't know
Bisexual - Huyu ana sehemu zote za siri ie za kiume na kike
Heterosexual - Huyu ni mwanaume au mwanamke ambaye anapenda opposite sex kwa kuoana na kuwa na family. Majority ya watu ambao wanaanza family watu ambao sio mabasha au Wa@s@enge%
Hermaphrodite Mfano Semenya wa SA huyu ni sawa na Bisexual
Homoerotic - Huyu ni M@se@nge% au basha ambaye ankuwa na nyege kwa wanaume au wanawake wenzake
Pansexual Hii ni diverse sexual expression
Omni sexual Omni maana yake ni all
Polysexual - Sijui umeliibua wapi hili
Salam ndugu wana JF napenda kujua maana ya maneno haya kwa kiswahili kwani huwa yananichanganya sana.Natanguliza shukurani.
1. Homophobic
2. Homosexual
3. Bisexual
4. Heterosexual
5. Hermaphrodite
6. Homoerotic
7. Pansexual
8. Omnisexual
9. Polysexual
Mkuu sina kamusi na hapa nilipo ni vigumu sana kupata kamusi,na niki google kuna kuwa na kiingereza kikali sana ambacho hakinipi neno kwa maana halisi niitakayo nikajua nikiyajua maana yake kwa kiswahili itakuwa imenirahisishia ,kwani tuko Dunia mpya yenye kila vituko vipya ambavyo havikuwepo enzi zile,nilichotaka ni kujua tu kwa lugha yangu ya kiswahili na undani wa maneno hayo asante.usijilemaze sana mdogo wangu. maneno mengine ni kiasi cha kuchukua kamusi na kuyatafuta taratibu. nenda pia kwenye wavuti utapata maana zaidi ya moja na mifano kedekede. fanya hivyo
Mkuu sina kamusi na hapa nilipo ni vigumu sana kupata kamusi,na niki google kuna kuwa na kiingereza kikali sana ambacho hakinipi neno kwa maana halisi niitakayo nikajua nikiyajua maana yake kwa kiswahili itakuwa imenirahisishia ,kwani tuko Dunia mpya yenye kila vituko vipya ambavyo havikuwepo enzi zile,nilichotaka ni kujua tu kwa lugha yangu ya kiswahili na undani wa maneno hayo asante.
Hayo mambo mbona si mapya, yalikuwepo tangia enzi hizo.Mkuu sina kamusi na hapa nilipo ni vigumu sana kupata kamusi,na niki google kuna kuwa na kiingereza kikali sana ambacho hakinipi neno kwa maana halisi niitakayo nikajua nikiyajua maana yake kwa kiswahili itakuwa imenirahisishia ,kwani tuko Dunia mpya yenye kila vituko vipya ambavyo havikuwepo enzi zile,nilichotaka ni kujua tu kwa lugha yangu ya kiswahili na undani wa maneno hayo asante.
Homosexual (Homosexuals) noun *******, Shoga, ******, Basha,Salam ndugu wana JF napenda kujua maana ya maneno haya kwa kiswahili kwani huwa yananichanganya sana.Natanguliza shukurani.
1. Homophobic
2. Homosexual
3. Bisexual
4. Heterosexual
5. Hermaphrodite
6. Homoerotic
7. Pansexual
8. Omnisexual
9. Polysexual