Msaada Tutani: Natafuta shule ya msingi/chekechea

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Wanabaraza,

Naomba msaada wenu kuhusu shule nzuri ya msingi / chekechea. My preference is that shule hiyo/hizo ziwe maeneo kuanzia Mikocheni B mpaka Mbezi Beach.

Natanguliza shukrani,

Shadow.
 
Back
Top Bottom