Emelamu Junia Member Aug 21, 2013 32 9 Oct 24, 2016 #1 Jaman siwez kubrows kwa kutumia Mozilla Firefox.. Nikijarb inanimbia hvyo kene picha.. Attachments 1477308053918.jpg 32 KB · Views: 32
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 30,726 39,819 Oct 24, 2016 #2 ukipata tatizo la https cha kwanza kabisa angalia tarehe yako ipo sawa?
T tan 90 Senior Member Jul 29, 2012 182 36 Oct 24, 2016 #4 Huwa inaboa sana hiyo kitu asee.... hamna kitu unafanya.... afu unakuta kaishu ni kadogo tu yani....
desiigner JF-Expert Member Jul 30, 2014 520 229 Oct 24, 2016 #5 Chief-Mkwawa said: ukipata tatizo la https cha kwanza kabisa angalia tarehe yako ipo sawa? Click to expand... Dah hii inakumbusha zaman wkt natumia Desktop ambayo inapoteza majira kila ukizima bac tatizo hilo nilikuwa nalipata, dawa yake nikuset muda/tarehe ikae sawa tu.
Chief-Mkwawa said: ukipata tatizo la https cha kwanza kabisa angalia tarehe yako ipo sawa? Click to expand... Dah hii inakumbusha zaman wkt natumia Desktop ambayo inapoteza majira kila ukizima bac tatizo hilo nilikuwa nalipata, dawa yake nikuset muda/tarehe ikae sawa tu.