Mrs Joho 001
Member
- Aug 5, 2023
- 57
- 153
Kavunje ndoa, tabu ya Nini.. kwani mlizaliwa tumbo mojaHabari , Hope mko poa
Twende directly kwenye Mada. Hivi wanawake Especially Mlioolewa Mnaweza Vipi Kuishi na Mwanaume anayependa Kununa nuna ?
Binafsi Nimechoka sasa Mume wangu ni ile aina ya watu awe amefanya Kosa yeye au nimekosea mimi yeye solution ni Kununa. Au hii ni kawaida Kwa wanaume wote ?
Mimi Jukumu langu kila Kukiwa na ugomvi/ matatizo baina yetu Mimi Ndio huanza kutaka Yaishe Hata Kama yeye Ndio amenikosea . Kuna siku Nilikuta Condom zilizotumika kwenye gari nikamuuliza akasema et alimuazima gari Rafiki ake atumie so yeye hajui chochote . Nilipotaka maelezo ya kina maana Naona ananidanganya Et akaninunia Kwa Kua simuamini. Hiyo ni Sawa kweli ?
Kiukweli Nishamchoka Sanaa,kwanza sio muaminifu, Pili Ana play victim akati makosa ni yake anataka yeye Ndio ambembelezwe Kwa makosa yake . Niishi nae vp sasa Maana Nimechoka Mno .
Really Bro?Piga chini huyo akanunie wazazi wake huko kwao.
….play the victim..Kiukweli Nishamchoka Sanaa,kwanza sio muaminifu, Pili Ana play victim akati makosa ni yake anataka yeye Ndio ambembelezwe Kwa makosa yake . Niishi nae vp sasa Maana Nimechoka Mno .
Narccism❎NARCCISM ON THE ONE AND TWOS
Pole sana dada your husband is a narccist....
Ahsante kwa masahihisho dada...Narccism
Narcissism
Sikia kama anazingua achana nae lkn kama ndyo tegemezi lako komaa nae hvyo hvyoHabari , Hope mko poa