Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Kesho nikifika kkoo ntakupa jibu, au ushapita pita huko?
uliipata kwa bei gani hiyo mashinebado sijafika huko sijataka niende tu bila mwongozo
uliipata kwa bei gani hiyo mashine
Kwa tsh ni ngapUsd 900
Kwa tsh ni ngap
mkuu hio ssd ya 256gb ni ndogo ila ina thamani sana kushinda hata 1TB ya HDD, hivyo hakikisha huitoi na operating system muda wote ipo humo, pc yako itakuwa na speed sana.[HASHTAG]#chief mkwawa[/HASHTAG]
usithubutu kueka windows 7 hutapata drivers, utakosa direct x 12 kwenye games na matatizo kibao utayatengeneza.Mkuu shukrani sana, nilitaka niipige chini hii window 10 niweke 7, umenifungua, sasa HDD apata wapi? nimezunguka kutafuta ya ukubwa huo imeekua changamoto, nimeona watu wanatumia ssmsung EVO
usithubutu kueka windows 7 hutapata drivers, utakosa direct x 12 kwenye games na matatizo kibao utayatengeneza.
HDD za 2.5 mbona ni common za laptop? freedom wanazo 130,000 za 1TB western digital black, ili kuondoa utata beba laptop wakainstall huko huko.
wewe unayo HDD ndogo hapo nyumbani?
angalia ile video, hakikisha hizo connector umezieka vizuri then uende kwenye computer management ku assign hio volume, nafkiri itakuwa upande wa storage
angalia ile video, hakikisha hizo connector umezieka vizuri then uende kwenye computer management ku assign hio volume, nafkiri itakuwa upande wa storage
Mkuu nimetoka kuweka bado haisomi, nimefata hata procedures lakini badoangalia ile video, hakikisha hizo connector umezieka vizuri then uende kwenye computer management ku assign hio volume, nafkiri itakuwa upande wa storage
hio hdd ni nzima? ukiitumia kama external inasoma?Mkuu nimetoka kuweka bado haisomi, nimefata hata procedures lakini badoView attachment 661853
hio hdd ni nzima? ukiitumia kama external inasoma?