Gospel Preacher JF-Expert Member Joined Jan 17, 2018 Posts 233 Reaction score 264 Jan 19, 2020 #1 Ndugu zangu habari zenu. Naomba kama una uza au una connection na wanapouza maturubai makubwa yale kwa lengo la kuezekea Jengo naomba kujulishwa. Au anayepafahamu hapo kkoo anisaidie natafuta yale makubwa ambayo huwa wanafunikia Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu habari zenu. Naomba kama una uza au una connection na wanapouza maturubai makubwa yale kwa lengo la kuezekea Jengo naomba kujulishwa. Au anayepafahamu hapo kkoo anisaidie natafuta yale makubwa ambayo huwa wanafunikia Sent using Jamii Forums mobile app
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,040 Jan 19, 2020 #2 Kuna pilau wapi?