Msaada: Tumbo linaniuma baada ya kula

pointers

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
774
81
Kwa yeyote anaeweza kunisaidia jamani......
Nasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu sasa nimetumia madawa sana na nimefanya mpaka endo scope
pale Agakhan Hospital kujua tatizo ni nini lakini bado linanisumbua

tatizo lenyewe:
Kila ninapokula chakula mchana nikimaliza baada ya mda mchache tumbo linaniuma sana
na kujaa gas nikienda chooni naharisha nashughuli inaishia hapo na linaacha kuuma mpaka kesho yake
tena nikila chakula.....ila nikila vitu vikavu km cake,nuts pamoja na vinywaji km juice au soda huwa haliumi kabisa

hili linatokea nikila mchana tu usiku na asubuhi hakuna tatizo

Naomba msaada wenu jamani
 
limeanza lini? na ni vyakula vya aina gani unavyokula? kuna magonjwa mengi ya tumbo lazima kuwa specific.
 
Una minyoo tafuta Zentel ya kidonge unywe mara moja asbh b4 kula na wiki inayft unapiga tena kimoja dukani@5000 punguza kula maharage na urojo dawa ya maji relcer gel pia itasaidia swala la gesi na kujambajamba
 
lina muda mrefu sana kaka, vyakula karibu vyote isipokuwa vya ngano ngano tu
km cake na vile vikavu, nikila wali,ugali,ndizi sijui chips ni mtindo ule ule ni mara chache sana kukuta haliumi
baada ya kula...
 
Una minyoo tafuta Zentel ya kidonge unywe mara moja asbh b4 kula na wiki inayft unapiga tena kimoja dukani@5000 punguza kula maharage na urojo dawa ya maji relcer gel pia itasaidia swala la gesi na kujambajamba
dawa za minyoo huwa nakula kila baada ya miezi mitatu au minne,maharage hata nisipokula mwezi mzima tatizo ni palepale mpaka najiona km sitakiwi kula...believe me nisipokula tumbo wala haliumi...
 
isije ikawa ni irritable bowel syndrome.dalili zake ni kuumwa na tumbo,tumbo kujaa,na kuharisha.ila maybe wataalamu watakujuza zaidi.jaribu kula kidogo kama tatizo ni mchana tu.
 
thaks for the advice
nitajaribu kuwa nakula kidogo nione pia itakuwaje.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom