Mkwawa mnyalukoro
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 232
- 136
Wadau, Mimi nasumbuliwa kwa muda sasa tatizo la mdomo kuzalisha mate machungu ikiambatana na tumbo kunguruma na kadri tumbo linavyonguruma ndipo mdomo unakuwa mchungu zaidi na hali hii inakuwa mbaya zaidi hasa nyakati za asubuhi ninapoamka pia hali hii inapelekea mwili kuuma na viungo hakika nimepima maradhi yote ikiwemo UKIMWI lakin naambiwa sina tatizo lolote dah hii hali inaninyima raha sana jamani.
Kwa anayefaham dawa ili tatizo hili linitoke.
Pia kama kuna dawa ya kuondoa hali ya mdomo kuzalisha mate machungu anisaidie jina la dawa nikatafute.
Kwa anayefaham dawa ili tatizo hili linitoke.
Pia kama kuna dawa ya kuondoa hali ya mdomo kuzalisha mate machungu anisaidie jina la dawa nikatafute.