MSAADA: Tsh 25m, Hardware moja au maduka mawili ya Vipodozi?

MSAADA: Tsh 25m, Hardware moja au maduka mawili ya Vipodozi?

Joined
Oct 25, 2021
Posts
98
Reaction score
100
Hii milioni 25 ni baada ya kutoa kodi ya pango.

Biashara zote nina experience nazo.

So kwa ushauri wenu, kati ya hizo ideas, ipi itanipatia mapato ya nguvu......
 
Hii milioni 25 ni baada ya kutoa kodi ya pango.

Biashara zote nina experience nazo.

So kwa ushauru wenu, kati ya hizo ideas, ipi itanipatia mapato ya nguvu......
Zote zinalipa ukitaka faida zaidi wafate wateja usisubirie wakufate.
Technology imesaidia wateja unawatafuta wenyewe.
 
Back
Top Bottom