Msaada transcend external hard disk

hyle master

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
209
Reaction score
23
habar zenu wakuu naomba msaada external yangu aina ya transcend 500gb inakataa kusoma kwenye pc yangu inawaka tu taa lakini kwenye pc haionekani nime jaribu kwenda kwenye device manager lakini pc haitambui mwanzoni ilikua inapiga kazi vizur lakini sasa ni chomeka kwenye pc ina toa beep sound naombeni msaada wenu
 

hiyo usb cable yake itakuwa imeharibika, jaribu kutafuta original USB cable nyingine itafanya kazi vizuri, ikishindikana basi kutakuwa na tatizo jingine
 
wire cable haina tatizo nimejaribu kuitumia kwenye device nyingine inafanya kazi
 
Kama hiyo computer yako ulichange OS basi inaweza kuwa some usb port zina miss drivers. Jaribu kubadili chomeka kwenye port nyingine au kama una comp nyingine jaribu huko uone ni vipi harafu rudisha majibu.
 
nimejaribu kwenye pc tofauti kama tatu lakin taizo bado palepale
 
Mkuu nenda kwene my computer, right click af uende kwene manage, af click hapo, ikfnguka nenda kwenye disk management, ikifnguka kama hdd yako ilkua na patition select moja af ui delete, ile space itakua unallocated, illocate upya na ukubal kuiformatt. Alaf uichek. Kama hiyo patition iksoma rud ukadelete na izo nyngne pia.
 
nahisi inaweza ikawa damaged je kuna njia nyingine nayoweza kutatua hili tatizo..
 
transcend disk ina ukubwa gani?
unatumia windows yipi? Xp 7 au 8?

Is it a new external or old (umeisha itumia mara nyingi?

If its new , after connecting, try to go to the device manager, ( right click on my computer, manage,storage, disc management.
There you could see the new drive, you could format there by right clicking. They check if it works.

If its old and suddenly stopped working, it could be due to bad sectors in hdd. Try chkdsk command of windows. in command prompt, "chkdsk 😀rive /r"
No quotes, in place of drive, you should provide the drive letter of your disc.

Good luck 🙂
 
uko hatarini, kama inatoa kamlio ukiconnect, nadhani sio dalili nzuri.
sijajua tu ina umri gani na kama imeangushwa kwa kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…