Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 Jan 13, 2013 #1 Mwenye habari za kina juu ya Tractor nzuri za kulimia anipe habari, kuanzia aina, upatikanaje wake na bei.
Mwenye habari za kina juu ya Tractor nzuri za kulimia anipe habari, kuanzia aina, upatikanaje wake na bei.
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Jan 13, 2013 #2 Bajeti yako ni ipi?
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 Jan 13, 2013 Thread starter #3 Iyokopokomayoko said: Bajeti yako ni ipi? Click to expand... Bajeti kamili hakuna, nahitaji kujua aina, ubora/uimara, bei zake ili nifanye assessment ya nijipange vipi!
Iyokopokomayoko said: Bajeti yako ni ipi? Click to expand... Bajeti kamili hakuna, nahitaji kujua aina, ubora/uimara, bei zake ili nifanye assessment ya nijipange vipi!
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Jan 13, 2013 #4 Tusubiri wengine lakini mimi nitakujibu kwa habari za uhakika ifikapo kesho jioni. Unaihitaji kwa ajili ya biashara au mashamba yako binafsi tu? unapanga kulima mazao gani na mkoa gani hasa?. Jibu haya pengine yanaweza kukusaidia kupunguza gharama. Kanigini said: Bajeti kamili hakuna, nahitaji kujua aina, ubora/uimara, bei zake ili nifanye assessment ya nijipange vipi! Click to expand...
Tusubiri wengine lakini mimi nitakujibu kwa habari za uhakika ifikapo kesho jioni. Unaihitaji kwa ajili ya biashara au mashamba yako binafsi tu? unapanga kulima mazao gani na mkoa gani hasa?. Jibu haya pengine yanaweza kukusaidia kupunguza gharama. Kanigini said: Bajeti kamili hakuna, nahitaji kujua aina, ubora/uimara, bei zake ili nifanye assessment ya nijipange vipi! Click to expand...
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,085 Reaction score 1,082 Jan 13, 2013 #5 Nunua massey furgason 50 hp mpya pamoja na jembe shilingi 26,000,000/=
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 Jan 13, 2013 Thread starter #6 Asante said: Nunua massey furgason 50 hp mpya pamoja na jembe shilingi 26,000,000/= Click to expand... Asante mkuu Asante! Hizi zinapatikana maduka yapi?
Asante said: Nunua massey furgason 50 hp mpya pamoja na jembe shilingi 26,000,000/= Click to expand... Asante mkuu Asante! Hizi zinapatikana maduka yapi?
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,085 Reaction score 1,082 Jan 13, 2013 #7 Kanigini said: Asante mkuu Asante! Hizi zinapatikana maduka yapi? Click to expand... Zipo uhuru road opposite Mwalimu House Ilala
Kanigini said: Asante mkuu Asante! Hizi zinapatikana maduka yapi? Click to expand... Zipo uhuru road opposite Mwalimu House Ilala
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,627 Jan 13, 2013 Thread starter #8 Asante said: Zipo uhuru road opposite Mwalimu House Ilala Click to expand... Asante Mkuu! Nitafika nione bidhaa hizo.
Asante said: Zipo uhuru road opposite Mwalimu House Ilala Click to expand... Asante Mkuu! Nitafika nione bidhaa hizo.