sam sanity 01
Member
- May 25, 2017
- 37
- 8
Ndugu wanajamii nilikua nahitaji kujua topic muhimu katika masomo ya PCB. Pia na jinsi ya usomaji wake ili kuendana na muda.

Umechaguliwa shule gani ?Ndugu wanajamii nilikua nahitaji kujua topic muhimu katika masomo ya PCB. Pia na jinsi ya usomaji wake ili kuendana na muda.
![]()
Sio uoga wala kufeli kuna topic zenye marks nyingi kwenye paperwewe usipo kuwa makini utafeli hakika ,,,kama umeanza uliza umuhimu wa topic wakati zote zinatoka kwenye mitihani!! Labda uliza ni topic gani usome tuitsheni kwa madoma ya bio, chem na phys!!!
Good mkuuSoma kwa mtindo wa maswali,hutojuta
Hii style unayomshauri sidhsni kama ni nzuri kwake. Atakuwa anasomea mtihani na kamwe hawezi kuwa competent. Hii itamlemaza na hata akiwa kwenye masomo ya profession itampa wakati mgumu.Soma kwa mtindo wa maswali,hutojuta