ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Hujaelewa nini mkuu?Dstv na tv ya star x then na sabufa wapi na wapi
Nafikiri hii ndo njia rahisi zaidi ngoja nijaribuHDMI cable inafanya picha kuwa clear zaidi, utachomeka kwenye tv na king'amuzi, kuhusu suala la sauti isikike kupitia sabufa, inabidi uwe na cable sijui jina lake lakini inakuwa na pin kubwa kama pin za headphone upande mmoja na upande wa pili inakuwa na pin mbili, kwahiyo izo pin mbili utachomeka kwenye sabufa na iyo pin mfano wa head kuna pot kwenye iyo flat pembeni utachomeka, hapo utakuwa umemaliza. Uliza utakapokwama, pia ukifanikiwa lete mrejesho.
Asante mkuukama tv yako ina earphone ndio njia raisi zaidi ni kuchomeka tu waya wa sabufa na sauti ukiwa unaangalia tv utaipata.
done!!HDMI cable inafanya picha kuwa clear zaidi, utachomeka kwenye tv na king'amuzi, kuhusu suala la sauti isikike kupitia sabufa, inabidi uwe na cable sijui jina lake lakini inakuwa na pin kubwa kama pin za headphone upande mmoja na upande wa pili inakuwa na pin mbili, kwahiyo izo pin mbili utachomeka kwenye sabufa na iyo pin mfano wa head kuna pot kwenye iyo flat pembeni utachomeka, hapo utakuwa umemaliza. Uliza utakapokwama, pia ukifanikiwa lete mrejesho.
Kwenye DSTV kutakuwa na HDMI tuu si ndio hizo white na red zipoTazama matundu ya sauti ya tv yako ni njia mbili yaani white na red pins au ni njia moja yaani inatumia headphones. Kama ni njia mbili unga dstv kwenda kwenye tv kwa hdmi ,kisha toa nyaya toka kwenye tv za sauti (tazama sehemu zimeandikwa out) *tazama kama ni ya nyaya mbili zichomeke mbili kama ni ya headphone ichomeke* na zipeleke kwenye sub hoofer pin ziingie kwenye input side .
Basi enjoy
Hdmi pekee ndio itaconnect king'amuzi na Tv ,kisha hizo white na red utatumia kuconnect Tv na sub woofer yaani hdmi itachukua picha na sauti toka kwenye dstv na kupeleka kwenye tv,kisha white na red zitatoa sauti toka kwenye Tv iende kwenye sub wooferKwenye DSTV kutakuwa na HDMI tuu si ndio hizo white na red zipo
Hiyo home theatre haina hdmi. Mbona nyingi zina hdmi.We have the same case! Majuzi nimenunua LG Tv nikaunganisha na H/Theatre ikagoma kutoa sauti mpaka nikadhani huenda nimeuziwa Tv mbovu.
Inayo mkuuHiyo home theatre haina hdmi. Mbona nyingi zina hdmi.
Vip pia ina RCA.
Japo ni kweli HDMI inatoa picha clear but ukubwa wa resolution ya TV yko pia unahusika. TV zote ambazo zina resolution chini ya 1920 X 1080P hta utumie HDMI huwez faidi uhondo.Wakuu hebu niwekeni sawa kuhusu HDMI
Mwanzo nilikuwa natumia cable za kawaida(RCA CABLE) lakini bado picha hazipo kwenye clear ile ya HD Yenyewe msaada kwa mtaalam wa mambo haya
Mkuu ina Resolution: 1366x768 je naweza pata picha clear?Japo ni kweli HDMI inatoa picha clear but ukubwa wa resolution ya TV yko pia unahusika. TV zote ambazo zina resolution chini ya 1920 X 1080P hta utumie HDMI huwez faidi uhondo.
Ukitumia HDMI kwa TV ambayo ni UHD ndo utafaidi uhondo! Unaweza ukahesabu had nywele za mtu anayekuwa displayed