JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,090
- 5,875
Kwa hiyo unachotaka ni uume mkubwa ukiwa umelala? Sasa unaotaka wa kazi gani huo?Unasimama vizur tu na kufikia mpaka inch 5 na kidogo, na nashiriki tendo vyema tu...kakinywea ndo hatari kadogo kweli..nishawahi kupata mwanamke...tulipotaka kufanya sex akaniambia una maumbile madogo lakini tulisex na aliridhika na ahsante akanipa.
Aisee una maisha ya shida sana...usipobadili saikolojia utaish maisha ya tabu had unaingia kaburinJamani ndugu zangu wana jf mimi ni muhanga wa maumbile madogo, pengine ni sababu ya life style yangu wakati wa ukuaji (nazungumzia kujichua sana) kwa sasa nina miaka 26 lakini maumbile yangu ni madogo mpka naona aibu hata kuwa na mahusiano, msaada kwa yeyote anaefahamu suluhisho
Explanation kidogo kaka, hapa ni kusaidiana na kama unaona nina tatizo la saikolojia basi ni kunisaidia kurevert hiyo saikolojia yangu, otherwise unaweza usicomment chochote tu.Aisee una maisha ya shida sana...usipobadili saikolojia utaish maisha ya tabu had unaingia kaburin
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kikukwa achana na dhana hiyo, watu wengi penis zao zinaanza nchi 4.5 mpaka 8. Ukiwa chini au juu ya hapo Ndo unaweza kusema ni shida.Explanation kidogo kaka, hapa ni kusaidiana na kama unaona nina tatizo la saikolojia basi ni kunisaidia kurevert hiyo saikolojia yangu, otherwise unaweza usicomment chochote tu.
Nipe basi namba hata ya mmoja ulomuumiza [emoji16][emoji16]wapo wa size yako wangine tunaachika kwakuumiza watoto wa watu yani maisha ni kubafilishana kaka
Sawasawa kaka, hapa napata matumainiMtombe demu akili na moyo kwanza, hivyo vingine siyo issue...
Pole sana ..sina cha kukushaurExplanation kidogo kaka, hapa ni kusaidiana na kama unaona nina tatizo la saikolojia basi ni kunisaidia kurevert hiyo saikolojia yangu, otherwise unaweza usicomment chochote tu.
We ni daktari au shuhuda wa tiba fulani?Tatizo lako ni la kisaikolojia na kutofahamu mambo mengi yanayohusu ufanyaji wa mapenzi,Piga namba 0756625286 utasaidiwa ushauri.
Nchi tano kubwa sanaTano mkuu
We ni daktari au shuhuda wa tiba fulani?
Hata mafuta ya kitunguu swaumu...yapo yanauzwa kwenye misikiti na wale wazee wa sunnaPaka mafuta ya nazi ivute vute kila siku kama unakamua chuchu za ng'ombe kwa muda wa wiki tuu itarefuka
Hii inasaidiaje?Hata mafuta ya kitunguu swaumu...yapo yanauzwa kwenye misikiti na wale wazee wa sunna
Unakuwa unapaka hayo mafuta unaivuta, ivute hata ikiuma kutokea kwenye kitovu we vuta tu kama wiki 2 au 3. Utaona mabadiliko ya sizeHii inasaidiaje?
Hahah..maneno ya kujifarij haya kaka...mwanamke akiona mashine ya manaa lazima achangamke..utamwona tu usoni...hahah...na utaona anawai kuifanya kama koni...hapo ujue ameipenda mashine...achana ma mambo ya kuridhisha..manaa kuridhisha hata kidole kinaweza mridhisha..ishu ni hyo satisfaction ya kujiamin na kupendwa.hakuna mwanamke anapenda mashine ndogo..wanawapa tumain tu.hahah..huu ndo ukwel kaka..ts like useme wanawake wanapenda watu wafupi..hahhaaNikupe somo kidogo:uume wa binadamu una kazi 2 tu,1.kutolea haja ndogo,2.kufanya mapenzi.hiyo ya kwanza tuiache,ya 2 mwanaume yoyote mwenye uume unaosimama anaweza kumfikisha mwanamke kileleni bila kujali ukubwa au udogo wa uume wake,na pia mwanaume mwenye uume mkubwa anaweza kushindwa kumfikisha mwanamke kileleni na yule mwenye uume mdogo anaweza.
Kufanya mapenzi na kumfikisha mwanamke kileleni kunahusisha mambo mengi Kama kumuandaa mwanamke, maneno/mazungumzo yenu kabla ya kukutana,wakati mlipokutana na wakati mnafanya mapenzi....
Kwahiyo wewe mwenye uume mdogo unatakiwa ujiamini,usiwe na woga Wala wasiwasi.
Niishie hapa hii elimu ni kubwa Sana.
Mafuta ya kitunguu swaum unayajua mkuu...hakuna mswahili anaweza extract hayo mafuta..mnapigwa tuuHata mafuta ya kitunguu swaumu...yapo yanauzwa kwenye misikiti na wale wazee wa sunna