The comeback maestro
New Member
- Jan 26, 2022
- 2
- 6
Jamani ndugu zangu wana jf mimi ni muhanga wa maumbile madogo, pengine ni sababu ya life style yangu wakati wa ukuaji (nazungumzia kujichua sana) kwa sasa nina miaka 26 lakini maumbile yangu ni madogo mpka naona aibu hata kuwa na mahusiano, msaada kwa yeyote anaefahamu suluhisho
Huyu sio wale wanakuja baadae na comment ya suluhisho kwa Id nyingine. marketing strategy?Nyie watoto mna shida sana. Watu tuna maumbile madogo, tumezaa watoto, nao amezaa watoto sasa. Shida yenu nini hasa? Kila siku mnaongelea uumbaji wa Mungu. Unataka ufanyiwe nini hasa?
Tano mkuuIkisimama inch ngapi?
Poa kakaPole sana mkuu ila Hakuna linaloshindikana humu. Ngoja waje wajuvi wa mambo.
Acha kuisingizia Punyeto kwa sababu za ajabu!!!Jamani ndugu zangu wana jf mimi ni muhanga wa maumbile madogo, pengine ni sababu ya life style yangu wakati wa ukuaji (nazungumzia kujichua sana) kwa sasa nina miaka 26 lakini maumbile yangu ni madogo mpka naona aibu hata kuwa na mahusiano, msaada kwa yeyote anaefahamu suluhisho
We yako ni ngap bro unayoiita ndogo?Nyie watoto mna shida sana. Watu tuna maumbile madogo, tumezaa watoto, nao amezaa watoto sasa. Shida yenu nini hasa? Kila siku mnaongelea uumbaji wa Mungu. Unataka ufanyiwe nini hasa?
Inatosha mkuu kama unasimamisha bila shida kama kusimama shida tafuta msaada wa Tiba tu ya kusimama basiTano mkuu
Matabibu wengi wa tiba asili wanasema nyeto ni chanzo kikubwa...ndo nikaona pengine ni sababuAcha kuisingizia Punyeto kwa sababu za ajabu!!!
Siyo kweli hao ni waongo maumbile ni nature ya mtuMatabibu wengi wa tiba asili wanasema nyeto ni chanzo kikubwa...ndo nikaona pengine ni sababu
Ah wap, nimeuliza suluhisho tu...simarketise chochoteHuyu sio wale wanakuja baadae na comment ya suluhisho kwa Id nyingine. marketing strategy?
Ahsante kwa ushauriInatosha mkuu kama unasimamisha bila shida kama kusimama shida tafuta msaada wa Tiba tu ya kusimama basi
Ushauri nje ya maada:
Kama unauwezo kidogo wa hela tafuta mwanamke mwenye akili uoe basi