Msaada tiba ya jino

Msaada tiba ya jino

Tumia sensodyne kuswakia.

Permanent soln ni kung’oa… kwanza ni la wapi ilo mpaka hutaki kuling’oa?
Ushauri ni ung’oe tu.
Dawa imenisaidia sana hiyo.. Buku 5 tu zile sahivi ya kati sijui ni ndogo..

Hafu jitahidi kanunue maduka makubwa mfn supermarket haya maduka madogo unakuta zime expire kwasababu hakuna anaenunua dawa ya elfu 5 ndogo wakati kuna waitident ya elfu 2 kubwa.
 
sawa utachukua matunda yaliyoiva ya mti wa tura tura au wengine huita ndulele kama mawili matatu kulingana na ukubwa wa tunda, kisha utayakata kata halafu unaweka kwenye chombo utayakamua ile juisi yake halafu utachovya mswaki wako mpaka uenee kama dawa ya meno inavyokaa..
utaswaki kama dakika 3 mfululizo hapo utaona mapovu mengi mdomoni ila USIMEZE KABISA! na dawa ni chungu sana ila inavumilika utaendelea mpaka dakika 3 zikamilike, baada ya hapo utatema yale mapovu na utakaa kwa dakika 5 bila kusukutua kwa maji ya kawaida kisha zikipita utachukua maji ya vuguvugu utasukutua jino litapoa kabisa kabisa..
utaamua sasa wewe ukalizibe kama ni la kuziba au kama limeshakatika katika basi litakatika taratibu bila maumivu na unaweza kaa hata miaka mitatu halijauma, ikishindikana hiyo nitafute nikupatie dawa nyingine, shukran..

Papaa Gx Lissu jr94 davejillaonecka

images - 2022-02-26T082532.275.jpeg

images - 2022-02-26T082422.857.jpeg
 
View attachment 2131485

View attachment 2131486
Shukran, nitafanya hivyo...ila hapo kwenye kumeza, ikitokea umemeza bahati mbaya je?
 
Kuna wakati mods wakiona inafaa, mada ifungwe pale linapopatikana suruhisho, coz wengine wanatoa ujinga wao na mzaa kwenye jambo la muhimu.

I Mean 'No more replies'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom