Ntakuwa Dar baada ya siku nne. Kama utakuwa hujapata dawa utanitafuta nikupe dawa, tena bure.Habari ya muda huu wana jf, nasumbuliwa sana na jino, limeshambuliwa na wadudu....kuna yeyote mwenye kufahamu tiba yake bila kung'oa
Ntakuwa Dar baada ya siku nne. Kama utakuwa hujapata dawa utanitafuta nikupe dawa, tena bure.Habari ya muda huu wana jf, nasumbuliwa sana na jino, limeshambuliwa na wadudu....kuna yeyote mwenye kufahamu tiba yake bila kung'oa
Asante,hii ni ya kutunza kwa baadaesawa utachukua matunda yaliyoiva ya mti wa tura tura au wengine huita ndulele kama mawili matatu kulingana na ukubwa wa tunda, kisha utayakata kata halafu unaweka kwenye chombo utayakamua ile juisi yake halafu utachovya mswaki wako mpaka uenee kama dawa ya meno inavyokaa..
utaswaki kama dakika 3 mfululizo hapo utaona mapovu mengi mdomoni ila USIMEZE KABISA! na dawa ni chungu sana ila inavumilika utaendelea mpaka dakika 3 zikamilike, baada ya hapo utatema yale mapovu na utakaa kwa dakika 5 bila kusukutua kwa maji ya kawaida kisha zikipita utachukua maji ya vuguvugu utasukutua jino litapoa kabisa kabisa..
utaamua sasa wewe ukalizibe kama ni la kuziba au kama limeshakatika katika basi litakatika taratibu bila maumivu na unaweza kaa hata miaka mitatu halijauma, ikishindikana hiyo nitafute nikupatie dawa nyingine, shukran..
Papaa Gx Lissu jr94 davejillaonecka
View attachment 2131485
View attachment 2131486
Pata maganda ya mti wa Mlonge. Pondaponda na yachemshe (kama kikombe kimoja hivi). Sukutua kama unavyofanya wakati wa kubrashi meno. Unaweza kufanya asubuhi, mchana na jioni kwa siku tatu. Halafu nipe mrejesho.Habari ya muda huu wana jf, nasumbuliwa sana na jino, limeshambuliwa na wadudu....kuna yeyote mwenye kufahamu tiba yake bila kung'oa
fanya hivyo mkuu utasaidia hata mtu mwenye matatizo na elimu itarithishwa kwa watu wengine..Asante,hii ni ya kutunza kwa baadae
Sawa, mkuu asante kwa elimufanya hivyo mkuu utasaidia hata mtu mwenye matatizo na elimu itarithishwa kwa watu wengine..
asante pia..Sawa, mkuu asante kwa elimu
Kwa Dodoma wapi inaweza patikana?Mkenda jengo la ubungo plaza uliza duka la dwa za asili la JKBC waambie wakupe dawa ya meno inaitwa DFP inauzwa Kati ya elfu 20 Hadi 25 utanikumbuka baadaye.
Ya ndulele umeiacha mkuuWadau nimerudi kwenye huu uzi kuwapa mrejesho, mlinipa msaada mkubwa sana, kila mmoja kwa kile alichoona kingenisaidia niwashukuru sana wote...binafsi niliamua kutumia ile njia niliyoona ina wepesi, basi niliamua kutumia dawa ya sensodyne kama ambavyo mmoja wa wana jf alivyoshauri hapa na mmoja wa wana jf.kwa kweli dawa ile iko vizuri sana...meno yametulia kabisa...kuanzia sasa sitoacha hiyo dawa...na ningependa niwashauri na wengine watumie dawa hii kama utaratibu wao wa kawaida kila siku kwa kuswakia asubuhi na usiku/jioni.