Msaada, theisis ya desertation.

loulla

Senior Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
125
Reaction score
92
Habarini wqna JF, namba mnisaidie theisis ya desertation, kwenye maswala ya web designing.
 
Mkuu theisis ya desertation ndio kitu gani?

Nilidhani unaomba msaada jinsi ya kuandika thesis / dissertation
 
Habarini wqna JF, namba mnisaidie theisis ya desertation, kwenye maswala ya web designing.


...tulia kwanza, inawezekana ni typo au unahitaji muda zaidi kuweza kufikiria hicho unachotaka kuandika
 
Nenda library kasome ziliOfanywa KTM area ya study yako kisha pitia sehemu ya further study utapata kitu. Bila kusoma hiyo thesis utataka kila kitu kitoke jf kasome...tengeneza titles kama 15 kisha rudi nazo hapa watakupa msaada
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…