nikiwa darasa la tano niko njiani na rafiki yangu mpendwa tunarudi nyumbani alichomwa na msumali ukazama ndani ya kiatu na ukamuingia haswa,baada ya siku kadhaa alilazwa,tukauguza lakini akafariki kwa tetenus,ingawa weng walidai ni ushirikina kwahiyo jitahidi kutafuta tiba zaidi hospital mkuu