Msaada: Tembocard visa bila picha wala jina

Msaada: Tembocard visa bila picha wala jina

Yaani wewe badala ya kuwauliza kule waliko kupa unakuja kuutuliza sisi huku Jf?? Wew una akili kweli???
 
Kwa wanaojua naomba mnijuze.
Leo nimefungua account ya CRDB ya tembocard visa ila najiuliza kwanini hawaweki picha wala jina la mwenye account.

Msaada tafadhali.
Hizo itakua zile zinazoitwa rapid au kitu kama hikona bank nyinyine wanayo wanaita chap chap account maana yake unafungua account siku hiyohiyo unapewa kadi na account yako iko tayari kwa matumizi
 
Toa picha ya hiyo kadi yako. Unajipa risk za bure. Sio kila ukiambiwa picha unaweka tu
 
Bro we kilaza sana,yaani unaambiwa uweke picha na wewe kweli unaweka picha ya card bank yako kwenye mtandao..ebu toa iyo picha kwa usalama wako
 
o we kilaza sana,yaani unaambiwa uweke picha na wewe kweli unaweka picha ya card bank yako kwenye mtandao..ebu toa iyo picha kwa usalama wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom