Msaada, tegemezi wangu kapoteza bima ya afya

Ana umri gani, kama ni zaidi ya miaka 18 hasomi shule imekula kwake, akiwa anasoma shule awe chini ya 21 miaka.
Cha kufanya nenda polisi upate loss report, ukalipie bank, uambatanishe na mahusiano ya utegemezi wako mfano kama mtoto cheti cha kuzaliwa, mzazi wako cheti chako cha kuzaliwa kama mkwe cheti cha mwenza wako cha kuzaliwa pamoja na kitambulisho cha kupiga kula, au leseni au barua ya serikali ya mtaa ya utambulisho ya Huyo mkwe.
Kama ni mke wa ndoa weka cheti cha ndoa.
 
Back
Top Bottom