Msaada: Tecno yang smatphone haionyeshi storage ya phone

Msaada: Tecno yang smatphone haionyeshi storage ya phone

KABIDO

Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
74
Reaction score
117
Msaada tecno yang smatphone haionyeshi storage ya phone hata ukiweka memory card pia huioni...msaada kwa hili
 
TECNO M3 Mkuu
Duuuuh! Kati ya sim mbovuu za brand ya tecno kutoa ni hii sim Tecno M3, asee hivi vi sim hasa lile toleo la awali ni pasua kichwa vina matatzo kama chungu nzima!!
 
Ingia playstore download clean master halaf scan simu yako yote..then kila kitu kitakua sawa.ikishindikana tell me nikupe njia nyingne
 
Daah pole sana mkuu..fanya kuiuza ununue simu nyingine..Hizo simu mizinguo balaa
 
Back
Top Bottom