MSAADA tecno y3

MSAADA tecno y3

Flash simu yako au fanya hard reset ikishindikana ndo uflash
 
hakikisha kwanza simu yako haipo kwenye power saving mode yoyote ile, including application zinazoclaim kutunza chaji. halafu uangalie kama tatizo linaendelea.

pia sijawahi sikia service inaitwa document, jaribu kwenda setting kisha apps angalia kama kuna app ina jina hilo itoe,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom