nimeweka picha hapo ya hiyo tecno w4habari ndugu,kwawale ambao wanafahamu matatizo ya simu za tecno naomba msaada wa kujua tatizo la hii simu tajwa hapo juu(tecno w4),toka juzi nilipoiwasha screen imeganda hivyohivyo huwezi kufanya kitu chochote hata kuizima haviwezekani,tatizo ni nini wataalamu!
Bwana, Leonard hakuna fundi karibu[emoji23][emoji23] au unaogopa kupigwanimeweka picha hapo ya hiyo tecno w4View attachment 1095751
Weka email yako mkuu... Unganisha na hotspot au wifinimefanikiwa baada ya kubonyeza hizo baton baada ya hapo nikaenda kwenye data swipe,sasa inanielekeza nitumie WI-FI hapo ndipo nilipokwama tena.View attachment 1095835
Mkuu si hapo wamekwambia connect to WI-FI tafuta simu nyingine washa hotspot...tatizo ni kwamba hiyo step unayoiona haionyeshi sehemu ya kuweka email yani iko hivyo unavyoiona