View attachment 570140 Wakuu;
Nmefanya 'hard reset' kwenye Tecno W2 lakin shida imekuja kwenye 'gmail account verification' kwani 'previous gmail account' iliyokuwa signed in ni ya muda mrefu hvyo details zake nimezisahau.Naombeni msaa juu ya nini nifanye ili kufanikisha.
Nawasilisha