Pole mkuu. Simply, mpelekee fundi airudishie file lake halisi yaani stock rom na itarudi katika hali yake na hilo tatizo litaondoka. Kwa kiasi kikubwa version ya android ya kitkat ambayo ndiyo inayotumika ktk simu yako ni rahisi sana kwayo kupoteza uwezo wake kiutendaji au hata kuruhusu virus ambao pia husababisha hilo tatizo