msaada tecno p5

msaada tecno p5

Chachii

Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
91
Reaction score
22
naomba Masada cm yangu aina ya tecno p5 inatatizo nikiiwasha inawaka ila hairespond chochote Kisha inazimika na kubaki na maandish techno nimejaribu kutoa memori card ikakubali kufanya kaz ila program nyingi zipo kwenye card nifanyeje?
 
mwanzo wa kufa hiyo yangu m3 ilifanya hivyo hivyo mwisho wa cku ikazima kabisa hata neno tecno likawa halionekani tena
 
nireset bila memory card au! maana nikiweka memory haiwaki

ndio fanya hivyo. hard reset ur tecno. hafu maybe kweli sd card ina virus. jaribu nyingine ya rafiki yako. tecno ndio zilivyo mzee
 
Back
Top Bottom