Wandugu naomba msaada wenu kwa wajuzi wa simu,nataka kununua simu katika pitapita yangu kkoo nimekutana na tecno p5 na samsung s4 ya kichina (made in korea) je nichukue ipi? Asanteni kwa majibu ntakayopata.
Nikiona mtu anatumia kitu fake ninamuona mtu wa ajabu sana na hata mwanamke aliye na akili timamu ukimtongoza hawezi kukukubali kwasababu atahisi deep inside na wewe ni fake.