Nilifanya rooting kwenye hii tecno yangu yenye Os ya android,nikataka kubadili font,ikajizima na kuwaka kisha inaishia kwenye logo ya tecno na kushindwa kuendelea kuwaka,nifanyeje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.